KOCHA WA FIORENTINA AMPIGA NGUMI MCHEZAJI WAKE

KOCHA WA FIORENTINA AMPIGA NGUMI MCHEZAJI WAKE BAADA YA KOCHA HUYO KUMTOWA NDANI YA DAKIKA 38 MCHEZAJI HUYO DELIO ROSSI ALIKASILISHWA NA UWAMUZI WA KOCHA HUYO NA KUONEKANA KUWA MWENYE HASIRA NA KUMFANYA KOCHA HUYO KUMPIGA NGUMI MCHEZAJI HUYO. NAE RAISI WA FIORENTINA ADREA DELLA VALLE ASEMA KUWA KITENDO ALICHO KIFANYA KOCHA HUYO CHA KUMPIGA MCHEZAJI SI KITENDO KIZURI. RAISI WA CLUB HIYO AMEMTAKA KOCHA HUYO KUKAA CHINI NA MCHEZAJI HUYO KUONGEA NA KUELEWESHANA NA SI KUPIGANA .

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.