BALOTELLI AFICHA WANAWAKE 3 NDANI KABLA YA KUELEKEA KWENYE MECHI DHIDI YA NEWCASTLE

MSHAMBULIAJI WA MAN CITY SUPER MARIO BALOTELLI ALHAMISI YA WIKI HII ALIKUTWA NA WANAWAKE WATATU KATIKA NYUMBA YAKE HUKU ILIPOFIKA SAA 7:45 ALIWAACHA WANAWAKE HAO NA KWENDA MAZOEZINI MAJIRANI ZAKE BALOTELLI WANASEMA WALIONA WANAWAKE HAO WATATU KWENYE NYUMBA YA BALOTELLI WAKIWA KWENYE FURAHA TAKRIBANI MASAA 6 MASHABIKI WA MAN CITY WALIPATWA NA MSHTUKO KUWAONA WANAWAKE HAO HUKU KUKIWA NA MCHEZO NA NEWCASTLE MCHEZO HUO WA NEWCASTLE NDIO UTAAMUWA NANI BINGWA HUKU MCHEZAJI MARIO BALOTELLI AKIWA NA WANAWAKE NDANI BALOTELLI ALIWAFICHA WANAWAKE HAO BAADA YA MPENZI WAKE RAFFAELI FICO KUWSILI NDANI HUMO WANAWAKE HAO NI ALIYEKUWA MPENZI WAKE WAYNE ROONEY, JENNY THOMPSON,NA BLONDE CHLOE EVANS KILA MWANAMKE ALIPEWA KIASI CHA PAUN 245 KILA MMOJA ILI WAMPE BURUDANI MCHEZAJI HUYO

WAKALA WA MCHEZAJI HUYO ALIMPELEKEA WANAWAKE MCHEZAJI HUYO USIKU SANA NA KUMFANYA MCHEZAJI KUWA NA UHURU WAKUFANYA CHOCHOTE WAKATI ULE BAADHI YA WANANAWAKE WALIONDOKA SAA TANO ASUBUHI NA WENGINE WALIONDOKA SAA 2 ASUBUHI

BALOTELLI ALIWASILI MAZOEZINI MCHANA HUKU AKIWASILI NA GARI AINA YA RANGE ROVER YENYE THAMANI YA PAUN 60000 NA YENYE PLATE NAMBA LOO5E

                     MARIO AKIWASILI UWANJA WA MAZOEZI WA MAN CITY

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.