GERRARD ASEMA HAKUNA MCHEZAJI BORA KAMA SUAREZ
10:55 AM |
MCHEZAJI WA LIVERPOOL STEVEN GERRARD ASEMA HAJAONA MSHAMBULIAJI BORA KAMA SUAREZ. MCHEZAJI HUYO YUPO KWENYE FORM NZURI KWENYE CLUB YA LIVERPOOL NA KUIWEZESHA TIMU KUIBUKA NA USHINDI KWENYE MECHI DHIDI YA NORWICH CITY SUAREZ ALISHINDA MAGOLI YOTE KWENYE MECHI HIYO NA KUIWEZESHA CLUB YAKE KUIBUKA NA USHINDI KWENYE MECHI HIYO GERRARD ASEMA KUWA ILIKUWA NI HAT TRICK YA AJABU SANA GERRARD ASEMA KUWA YEYE NA TORRES WALIJENGA SAFU NZURI YA USHAMBULIAJI WAKATI MCCHEZAJI HUYO ALIPOKUWA LIVERPOOL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment