HARRY REDNAPP ASEMA HATOWEZA KUIFUNDI ENGALAND TENA
5:05 AM |
KOCHA WA TOTTENHAM HARRY REDNAPP ASEMA KUWA HATOWEZA KUIFUNDISHA TIMU HIYO KWA TENA KWA KUWA ROY NDIYE KOCHA WA SASA WA TIMU HIYO. KOCHA HUYO ASEMA KUWA HADHANI KAMA ANAWEZA KUWA KOCHA WA ENGLAND KWA SASA. KOCHA HUYO PIA ASEMA KUWA ROY NDIYE CHAGUO LA WA UINGEREZA NA SIO MIMI NA ANAMTAKIA KAZI NJEMA ROY ANA ANATUMAINI ATACHAGUWA KIKOSI BOROA AMBACHO KINAWEZA KIKACHUKUWA UBIGWA WA EURO MWAKA HUU. KOCHA HUYO ASEMA KUWA ATAKUWA NA MAPUMZIKO NA FAMILIA YAKE NA HADHANI KAMA ANGEWEZA KUWA KOCHA WA ENGLAND KUTOKANA NA KUWA NA MAMBO MENGI KWENYE CLUB YAKE YA SASA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment