ROY HODGSON AKABIDHIWA MIKOBA YA CAPELLO TIMU YA TAIFA ENGLAND

KOCHA WA CLUB YA WEST BROWICH ALBION AKIWA MWENYE FURAHA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA TAIFA WA ENGLAND AKIWA ANAENDESHWA. KOCHA HUYO USIKU WA JANA ALITAJWA KUWA NDIE KOCHA AMBAYE ANAEWEZA KUCHUKUWA MIKOBA YA ALIYE KUWA KOCHA WA ENGLAND FABIO CAPELLO. KOCHA HUYO ALIKUWA HAMINI KAMA NDIYE MRIDHI WA FABIO NA ALIKUWA AKICHUWANA NA KOCHA WA TOTTENHAM HARRY. ALIYEKUWA KOCHA WA FULHAM NA LIVERPOOL ALIWASILI KATIKA UWANJA HUO 8 MCHANA AKIWA NA GARI YA COROLLA NA MKUTANO ULIKUWA SAA 9 MCHANA. KOCHA AMEINOA TIMU YA SWITZERLAND UAE NA FINLAND 

                mwenyekiti wa FA akielekea kwenye mkutano

    roy akielekea kwenye mkutano

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.