TERRY AMUOMBA ROMAN ABRAMOVICH KUMPA DI MATTEO MKATABA WA MDA MREFU
11:09 AM |
NAHODHA WA CHELSEA JOHN TERRY AMEMTAKA MMILIKI WA CLUB HIYO ROMAN ABRAMOVICH KUMPA MKATABA WA MDA MREFU KOCHA WA SASA WA CHELSEA DI MATTEO TERRY ASEMA KUWA DI MATTEO NDIYE KOCHA AMBAYE WACHEZAJI WENGI WANAMPENDA NA KUNAMABADILIKO MAKUBWA SANA TULIYO YAPATA KWA KOCHA WA SASA WA DI MATTEO TERRY ASEMA DI MATTEO AMEFANYA VIZURI KWENYE LIGI NA MASHINDANO YA KIMATAIFA NA MAKOMBE MENGINE TERRY ASEMA KUWA KUSHINDA NDIO KUTAMUWEKA MAHALI MAZURI DI MATTEO NA SI VINGINEVYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment