YONG AMDANGANYA REFA

WINGA WA MANCHESTER UNITED ASHLEY YOUNG ALIMDANGANYA REFA KUWA ALIFANYIWA MADHAMBI NA MCHEZAJI WA ASTON VILLA.MCHEZAJI WA NEWCASTLE RYAN TAYLOR ALITUMA UJUMBE KWENYE MTANDAO WA KIJAMII WA TWITTER KUWA ASHLEY YOUNG ANAPENDA SANA KUJIANGUSHA NDANI YA BOX NA ASEMA KUWA NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA EGLAND KWA KUJIANGUSHA.KILA MSHABIKI WA MAN UNITED ALIKUWA ANAJUWA KUWA ALIKUWA AMEJILUSHA NA HAKUKATWA NA MTU

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.