MANCINE AMWAMBIA BALOTELLI KUWA AJILEKEBISHE KAMA ANATAKA KUKAA KWENYE KLABU
2:23 AM |
KOCHA MKUU WA TIMU YA MAN CITY AMEMWAMBIA MSHAMBULIAJI WAKE MARIO BALOTELLI KUWA ANATAKIWA AJILEKEBISHE KAMA ANATAKA KUENDELEA KUKAA KATIKA TIMU HIYO. MANCINE ALIMWAMBIA BALOTELLI KUWA KAMA ANATAKA KUWA MCHEZAJI WA KUKUMBUKWA KATIKA KLABU HIYO YA MAN CITY ANATAKIWA AWE NA TABIA INAYO PENDEZA. KOCHA ALIPATA NA JAZBA BAADA YA MSHAMBULIAJI HUYO KUPEWA KADI NYEKUNDU YA KIJINGA NA KUSABABISHA TIMU YAO IWEZEKUFUNGWA NA ARSENAL KWENYE LIGI KUU YA ENGLAND.MANCINE ALIKUWA ANAMPANGO WA KUMUUZA MSHAMBULIAJI HUYO KWENYE MAJILA YA JOTO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment