YAKUBU ASEMA: NITAPIGA HAT-TRICK LEO DHIDI YA MAN UNITED
10:44 AM |
YAKUBU AMESHASHINDA MARA NYINGI DHIDI YA MAN UNITED KWENYE MSIMU HUU LAKINI USIKU WA LEO ANATAK ANATAKA KUPIGA HAT-TRICK. YAKUBU AMEWATAKA WA BLACKBURN KUSHINDA MCHEZO WA LEO ILI KUJIWEKA KATIKA NAFASI NZURI. YAKUBU ASEMA KUIFUNGA UNITED NIKITU CHA BAHATI SANA.YAKUBU AMESEMA KUWA WAO NI MIONGONI MWA KLABU KUBWA DUNIANI.YAKUBU ASEMA KUWA ATAFUNGA ATAKAMA ANACHEZA NA TIMU GANI KUBWA.WAKAWOWOTE ANAPOPATA MIPIRA YEYE NI KUSHINDA TU. YAKUBU ASEMA SIKU ZOTE ANAPOPATA GOLI LA KWANZA JUA KUWA LAPILI LINAFWATA YAKUBU MWENYE MAGOLI 15 HIVI SASA ASEMA KUWA ANATAKA KUFUNGA HADI MAGOLI 20.KWENYE MSIMU HUU WA. YAKUBU ASEMA LIGI INAKWENDA MWISHO NA MAN CITY AWATAWEZA KUACHIA KOMBE KIRAHISI KAMA UNITED WANAVYO DHANI.ASEMA UNITED WANAWEZA WAKA DROP POINT SAA YOYTE ILE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment