KOCHA WA BEYER LEVERKUSEN AMETIMULIWA JUMAMOSI BAAD YA KUPATA MATOKEO MABOVU KATIKA MICHEZO YAKE TANGIA AWE KOCHA WA LEVERKUSEN.MCHEZAJI WA ZAMANI WA LIVERPOOL SAMI HYYPIA NDIE ATAKAE CHUKUWA MIKOBA YA KOCHA HUYO ALIYE TIMULIWA. BOSS WA KLABU HIYO HAKUFURAHISHWA NA HUDUMA YA DUTT.PIA BOSS HUYO AMESEMA KUWA ANAMATUMAINI YA KOCHA WA SASA NA ANAUAKIKA KUWA ATAFANYA VIZURI KATIKA MICHEZO YAKE.NAE KOCHA WA SASA WA KLABU HIYO AMESEMA KUWA ANAITAMBUWA TIMU HIYO VIZURI NA ANAHAKIKISHA KUWA ATAFANYA VIZURI KATIKA MICHEZO INAYOFWATA

- HUYU NDIE KOCHA WA SASA WA BEYER LEVERKUSEN
0 comments:
Post a Comment