CHELSEA IMEPANDA MPAKA NAFASI YA NNE KATIKA MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGALAND.NI MARA YA 20 CHELSEA KUPATA GOLI NDANI YA DAKIKA 10. KOCHA WA CHELSEA DIMATTEO AMESEMA KUWA KATIKA MCHEZO WAO NA FULHAM MARA NYINGI WALIKUWA WANAMILIKI MPILA. CHELSEA WALIPATA GOLI LAO KUPITIA KWA KIUNGO WAO FRANCK LAMPARD BAADA YA SALOUM KALOU KUFANYIWA MADHAMBI NDANI YA KUMI NA NANE. PIA DRAW HII INAWAWEKA CHELSEA KATIKA NAFASI YA SITA. KOCHA WA FULHAM AMESEMA KUWA ILIKUWA PENALTY YA HALALI KABISA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment