VILLA HAONESHA MATUMAINI YA KURUDI KABLA YA MSIMU KUISHA

MSHAMBULIAJI WA BARCELONA DAVID VILLA AMEONESHA MATUMAINI YA KURUDI DIMBANI.VILLA ALIVUNJIKA MGUU NA KUFANYA AKOSEKANE MIEZI MINNE .VILLA ALITUMA PICHA YAKE KWENYE ACCOUNT YAKE YA TWITTER KUONESHA KWAMBA YEYE ANAKALIBIA KUPONA.VILLA ANATARAJIWA KURUDI KWENYE FAINALI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA KAMA BARCELONA IKIPITA MAY 19.VILLA ANAWEZA KUWA KWENYE TIMU YAKE YA TAIFA YA SPAIN NA ANAWEZA KUSAFILI NAYO KWENDA UKRAIN NA POLAND KWENYE MICHUANO YA EURO 2012. VILLA ALISEMA KUWA MGUU WAKE UNAENDELEA VIZURI KILA SIKU.BARCELONA IPO NYUMA YA MADRID KWA POINT 4.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.