AGUERO AKANUSHA MADAI YAKUJIUNGA REALMADRID

SERGIO AGUERO ASEMA KUWA HATOWEZA KUONDOKA MANCITY KATIKA MAJIRA YA JOTO NA AMESEMA KUWA HANA MPANGO WA KUTUA KLABU YA REALMADRID KAMA ILIVYO ELEZWA. SERGIO AGUERO ALIAMIA KATIKA KLABU YA MAN CITY KWA ADA YA PAUN 38 MILIONI KATIKA KLABU YA ATHLETICO MADRID MWAKA WA JANA NA AMEWEZA KUFUNGA MAGOLI 19 KWENYE MICHEZO 29 KATIKA LIGI KUU YA ENGLAND MSIMU HUU.RIPOTI ZILIZO SAMBAZWA KUWA SERGIO AGUERO ATARUDI SPAIN NA BABA MKWE WAKE DIEGO MARADONA ALIMWAMBIA KUWA AJIUNGE NA REALMADRID.AGUERO ALIULIZWA KAMA KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU KUJIUNGA NA REAL MADRID AKASEMA KUWA SI KWELI NA SINA MPANGO WA KUJIUNGA NA REAL MADRID.AGUERO ALIZUNGUMZA UKWELI KWAMBA YEYE ANAFURAHA NA KLABU YAKE YA SASA YA MAN CITY NA ANAFURAHA NA KLABU YAKE NA WACHEZAJI WOTE WANAMPA SAPPOT UWANJANI.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.