ERIC ABIDAL ASUBILIA KAMA INI LAKE LITAKUWA SAWA

BEKI WA BARCELONA ERICK ABIDAL 32 ALIFANYIWA OPARESHEN YA INI KWA MASAA TISA SIKU YA JUMANNE.BINAMU WAKE ABIDAL ALICHANGIA SEHEMU YA MWILI WAKE MADAKTARI WANASUBILIA KUONA KAMA MWILI WA ABIDAL UTALUHUSU ORGAN MPYA.ABIDAL AMBAYE ALIONDOLEWA INI MWAKA WA JANA.ABIDAL ALIKUWA KWENYE JUKWAA WAKATI BARCELONA WAKIPAMBANA NA GETAFE AMBAPO BARCA WALISHINDA 4-0 KWENYE UWANJA WA NOU CAMP

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.