LUKAS PODOLSKI KATUA ARSENAL
9:50 AM |
LUKAS PODOLSKI AJIUNGA NA ARSENAL. KOCHA MKUU WA ARSENAL ARSEN WENGER AMEKILI KUWA WAMEFANIKISHA USAJILI WA KIUNGO WA GERMANY LUKAS PODOLSKI KOCHA HUYO AMBAYE AMEMJAZA SIFA NYINGI MCHEZAJI HUYO NA KUSEMA KUWA NDIYE CHAGUO LAKE LA KWANZA NDANI YA ARSENAL KOCHA HUYO AMESEMA KWAMBA PODOLSKI NI MCHEZAJI MWENYE NGUVU SANA NA ATAONGEZA NGUVU KWENYE SAFU YA KIUNGO. NAE PODOLSKI ASEMA KUWA ANAFURAHA KUJIUNGA NA ARSENAL NA ANATUMAINI ATAONGEZA NGUVU KWENYE KIKOSI HICHO KWENYE MICHUANO YA ULAYA NA MICHUANO MINGINE MINGI NDANI YA ARSENAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment