MANCINE:BALOTTELLI BADO ANALETA ZA KITOTO
4:47 AM |
KOCHA MKUU WA MAN CITY ROBERTO MANCINE AMESEMA KUWA MAN UNITED INAWEZA IKACHUKUWA UBIGWA KAMA ITASHINDA MICHEZO YAKE YOTE MIWILI INAYO FATA.MANCINE AMESEMA KUWA HAKUFURAHISHWA NA KITENDO ALICHO KIFANYA MARIO BALOTTELLI CHA KUTAKA KULUMBANA NA KORALOV.NA MANCINE AMESEMA KUWA ANAWEZA AKAONDOLEWA KATIKA TIMU KWA SABABU ZA KINIDHAM.
MANCINE ALITOKA DRAW NA TIMU YA SUNDERLAND.MANCINE AMESEMA KUWA KAMA UNITED WAKISHINDA LEO KATIKA MCHEZO WAKE NA BLACKBURN NA Q P R JUMAPILI BASI INAWEZA IKAWAKOSTI KWENYE MBIO ZA UBIGWA NA ITAKUWA BUSARA KWA MANCINE KUWEPO MAN CITY KAMA HATACHUKUWA UBIGWA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment