ANDY CARROLL ATAKA KUONDOKA LIVERPOOL
5:04 AM |
MSHAMBULIAJI WA LIVERPOOL ANDY CARROLL ALITOLEWA BILA YA KUMPA MKONO KOCHA WAKE KATIKA DAKIKA YA 78 PIA KIPA WA LIVERPOOL PEPE REINA ATAKOSA MCHEZO WA NUSU FAINALI NA EVERTON APRIL14. ANDY CARROLL HAKUTAKA KUTOLEWA KUTOKANA NA KUWA NA UCHU WA KUIFUNGA NEWCASTLE. PIA MSHAMBULIAJI WA NEWCASTLE EARLIAR ALIMTUKANA KOCHA WAKE KUTOKANA NA KOCHA WA NEWCASTLE KUMWAMBIA KUWA ALIJILUSHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment