AC MILAN WATOA DRAW NA CATANIA


WANAO SHIKILIA LIGI KUU ITALY LEO WAMETOA DRAW YA 1-1 NA CATANIA KATIKA MCHEZO ULIOPIGWA KATIKA UWANJA WA STADIO MASSIMINO.ROBINHO ALIWAPATIA AC MILANA BAO LA KWANZA KATIKA DAKIKA YA 35 YA MCHEZO KABLA YA NICOLAS SPOLLI KUISAWAZIA TIMU YAKE KATIKA DAKIKA YA 53 YA MCHEZO.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.