LUIS SUAREZ:NICHEZESHENI NA CARROL

MSHAMBULIAJI WA LIVERPOOL LUIS SUAREZ AMESEMA KUWA HAKUNA MCHEZAJI YOYOTE AMBAYE ATAWEZA KUMZUIYA ASEWEZE KUFUNGA KATIKA MCHEZO WAKE WA NUSU FAINALI NA EVERTON KWENYE UWANJA WA WEMBLEY KWENYE KOMBE LA FA CUP.MSHAMULIAJI HUYO AOMBA ACHEZESHWE NA CARROL KATIKA SAFU YA MBELE LEO.SUAREZ ASEMA KUWA KOCHA WAO KENNEY BADO HAJATOA MAAMUZI KAMA WATACHEZA PAMOJA KWENYE MECHI YA LEO NA KAMA KOCHA AKIWAPANGA PAMOJA KATIKA SAFU YA USHAMBULIAJI ITAKUWA HATARI SANA.SUAREZ ASEMA KUWA HAWAJACHEZESHWA PAMOJA KWA MSIMU HUU. ANDY CARROL ALIPATA BAO LAKE KWENYE MCHEZO WA LIGI KUU YA ENGLAND DHIDI YA BLACKBURN NA USHINDI HUO UMEMFANYA APATE MZUKA WA KUSHINDA KWENYE MCHEZO WAKE DHIDI YA EVERTON LEO.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.