MAN CITY WAPUNGUZA POINT ZA KUWANIA UBIGWA KWA WAPINZANI WAO MAN UNITED

SERGIO AGUERO AMEISAIDIA TIMU YAKE YA MAN CITY KUPUNGUZA POINT KWA MAN UNITED. LAKINI MANCINE ASEMA KUWA BADO NDOYO ZA KUCHUKUWA UBIGWA AZIPO KWA UPANDE WA TIMU YAKE. MANCINE ASEMA KUWA MAN UNITED NI TIMU BORA NA ADHANI KAMA WATAWEZA KUACHIA POINT 5 KIRAHISI.MANCINE ASEMA KUWA KWA POINT 5 NI NYINGI SANA KWA MAN UNITED KUACHIA KIRAHISI.MANCINE ASEMA KUWA NI VIZURI KUMALIZA MSIMU HUU KATIKA NAFASI NZURI.MANCINE ASEMA HUU NI MSIMU MZURI KWAO KWA MIAKA 50 NA ANAWASIFIA WACHEZAJI WAKE KWA KIWANGO KIZURI WALICHO KIONESHA.MANCINE ASEMA KUWA ULIKUWA MCHEZO MUHIMU KWAO KWA KUWA WEST BROMWICH NI TIMU YENYE KOCHA MZURI NA WACHEZAJI WAZURI NA ILIKUWA MECHI NGUMU SANA KWAO.TEVEZ ALIANZA MCHEZO WAKE WA KWANZA TANGIA SEPTEMBER 21 NA KUIFUNGIA MABN CITY BAO 1.MANCINE ASEMA KUWAANAFURAHISHWA NA YEYE TEVEZ NA PIA ANAFURAHISHWA NA KIWANGO CHAKE PIA.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.