FERGIE: ASEMA WIGAN ILISTAILI KUSHINDA

KOCHA MKUU WA MAN UNITED SIR ALEX ASEMA KUWA MCHEZO WAO DHIDI YA WIGAN ULIKUWA NI MCHEZO WA USHINDANI SANA NA WIGAN WALISTAILI USHINDI KUTOKANA NA KUJIPANGA VIZURI.KOCHA HUYO ASEMA KUWA WACHEZAJI WAKE WALIPATA NAFASI ZA WAZI NA WALISHINDWA KUZITUMIA VIZURI NAFASI HIZO PIA KOCHA HUYO ALISEMA KUWA ILIKUWA USIKU MBAYA KWAKE KWANI ALIKUWA AMESHA PUNGUZA GEP LA WAPINZANI WAO MAN CITY.PIA KOCHA HUYO ALIMPONGEZA ROBERT MARTINEZ KWA KUCHEZA VIZURI KWENYE MCHEZO HUO.MAN UNITED IMEFUNGWA NA WIGAN BAO 1

                  kocha wa man united akimpa maelekezo mchezaji wake wayne rooney

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.