KOCHA WA BARCELONA AKANUSHA MADAI KUWA ANATAKA KUJIUNGA NA CHELSEA
9:27 AM |
KOCHA WA BARCELONA AMEKANUSHA MADAI KUWA ANATAKA KUJINGA NA CHELSEA NA ASEMA KUWA ANAMPANGO WA KUHAMA BARCELONA.MMILIKI WA CHELSEA ROMAN ABRAMOVICH AMEMCHAGUWA PEP KUWA NDIYE ATACHUKUWA MIKOBA YA ALIYE KUWA KOCHA WA CHELSEA ANDRES VLLA BOAS.MMILIKI HUYO WA CHELSEA ALITOA OFFA YA EURO 10 MILIONI KWA MWAKA ILI MNYAKUWE KOCHA HUYO WA BARCELONA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment