KOCHA WA BOLTON AMRUHUSU FABRICE MUAMBA KUJIUNGA NA TIMU
9:15 AM |
KIUNGO WA BOLTON FABRICE MUAMBA YUPO NYUMBANI NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUTOKA HOSPITALINI BAADA YA KUMALIZA MATIBABU YAKE. KOCHA WA BOLTON ASEMA KUWA KAMA FABRICE AKIWA TAYARI KULUDI DIMBANI ATAMPANGA KIKOSI CHA KWANZA.MASHABIKI WAKE WANATEGEMEA KWAMBA FABRICE MUAMBA ATAREJEA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment