MAN CITY YAKARIBIA KUMNYAKUWA FERNANDO LlORENTE

MAWAKALA WA CLUB MBILI ZA MAN CITY NA AT MADRID WANAKAMILISHA MCHAKATO WA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA AT MADRID FERNANDO LlORENTE KWA MIAKA MITANO.FERNANDO AMESHINDA MAGOLI 28 KWENYE MSIMU HUU LLORENTE AMBAYE ANAWINDWA NA VILABU MBALIMBALI ENGLAND.OFFA WALIOTOA MAN CITY POUND 200000 KWA WIKI HAKUNA CLUB AMABYO IMEFIKA KIASI HICHO CHA FEDHA.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.