KIUNGO WA RENNES YANN M VILA ATAKA KUJIUNGA NA ARSENAL AMA REAL MADRID

KIUNGO MFARANSA ATAKUWA MMOJA WAPO KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI AMBAO ARSENE WENGER ATAKAO WASAJILI KATIKA KIPINDI ZA BARIDI NA PIA REALMADRID WAMEFURAHISHWA NA KIWANGO CHA KIUNGO HUYO WA RENNES. KIUNGO HUYO MWENYE MIAKA 21 ATAKUWA NA FURAHA KAMA ATAJIUNGA NA MFARANSA MWEZI ARSENE WENGER.YANN PIA ALIAMBIWA NA KOCHA WA REAL MADRID JOSE MOURINHO KUWA AJIUNGE NA REAL KAMA ATAKUWA TAYALI .PIA ANASEMA KUWA KUJIUNGA NA REAL MADRID ITAKUWA VIZURI ZAIDI KWA KUWA KUNA WACHEZAJI WENYE UWEZAO MKUBWA KAMA KAKA KARIM BENZEMA.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.