INTER YATOA KICHAPO CHA MABAO 5-4
10:48 AM |
INTER IMESHINDA MCHEZO WAKE WA LEO DHIDI YA GENOA CHINI YA KOCHA WAO MPYA ANDREA STRAMACCIONI KWENYE UWANJA WAO WA GIUSEPPE MEAZZA.DIEGO MILITO KASHINDA HAT-TRICK KATIKA MCHEZO AMBAO ULIOKUWA NA PENALTI 4 NA KADI NYEKUNDU 2 KATIKA MCHEZO HUO INTER WALIONEKANA KUHUMUDU MCHEZO MPAKA DAKIKA 90 PENALTI 4 KADI NYEKUNDU 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment