TOTTENHAM WAMELUDI TENA
10:39 AM |
WINGA MATATA WA TOTTENHAM GARET BALE AMESEMA KUWA KATIKA SAFARI YA KULUDI KWENYE FORM KLABU YAKE BAADA YA KUWAFUNGA SWANSEA MAGOLI 3-1.MAGOLI YA SPURS YAMEFUNGWA NA RAFAEL VAN DERVAT NA MAWILI YAKIFUNGWA NA EMMANUEL ADEBAYOR.HALI HIYO IMEMFANYA KOCHA WA TOTTENHAM HARRY REDKNAPPS KUWA NA MATUMAINI YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA LIGI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment