CHELSEA WAPO TAYARI KUTOA KIASI CHA FEDHA KUMNASA MSHAMBULIAJI WA REAL MADRID

MMILIKI WA CLUB YA CHELSEA ABRAMOVICH ASEMA KUWA WAPO TAYARI KUTOA KIASI CHA PAUND 37 MILIONI ILI KUMNASA MSHAMBULIAJI WA REAL MADRID GONZALO HIGUAIN. MMILIKI HUYO ATAKA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KOCHA WA MADRID JOSE MOURINHO NAO PIA MADRD WANATAKA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAN CITY ILI WAMNASE MSHAMBULIAJI WA ARGENTINA SERGIO AGUERO. HIGUAIN ANAREKODI NZURI YA KUFUNGA AKIWA ANA TIMU YAKE YA TAIFA NA CLUB YA REAL MADRD. HIGUAIN KASHINDA MAGOLI 25 KWENYE MICHEZO 51 NA AMETOA PASI ZA MAGOLI 8 MSIMU HUU.

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.