FABRICE AKIWA NA MTOTO WAKE
MTOTO WA MUAMBA AMUONA BABA YAKE AKIANGUKA
8:03 AM |
NDIO MALA YA KWANZA KWA MTOTO WA KIUNGO WA BOLTON AMBAYE ALIPATA MSHTUKO WA MOYO. MTOTO WA KIUNGO HUYO ALIMUONA BABA YAKE AKIANGUKA KWENYE MCHEZO WA FA CUP DHIDI YA TOTTENHAM.MCHUMBA WAKE FABRICE ALIHUDHUNIKA BAADA YA KUAMBIA NA DAKTARI WA MATATIZO YA MOYO KUWA FABRICE ALIPATA MATATIZO KWENYE UBONGO WWAKE.NA AKAAMBIWA KUWA YUPO KWENYE UWANGALIZI MZURI NA ANATUMIA MASHINE
FABRICE AKIWA NA MTOTO WAKE
KIUNGO WA BOLTON FABRICE MUAMBA AKIZUNGUMZA JINSI ALIVYO JISIKIA ALIPO ANGUKA
FABRICE AKIWA NA MTOTO WAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment