UEFA YA MFUKUZISHA GUARDIOLA

HUENDA MICHUANO YA UEFA IKAMFANYA GUARDIOLA KUTIMKA KATIKA CLUB YA BARCELONA PEP AMBAYE AMEIPA BARCA MAFANIKIO MAKUBWA SANA BARCA. KOCHA HUYO AMBAYE ANAUGOMVI MKUBWA NA BEKI WAKE PIQUE KWA SABABU MBALIMBALI KOCHA HUYO JANA ALIKUWA NA MKUTANAO NA VIONGOZI WA BARCA KUJADILI MKATABA WAKE NA MASWALA YA CLUB KWA UJUMLA.KOCHA HUYO ALIKUTANA NA RAISI WA BARCA SADRO ROSELL KUJADILI KUHUSU MKATABA WAKE NA MAISHA YAKE YA BAADAE. MKUTANO MWENGINE UTAFANYIKA TENA LEO ASUBUHI. BARCELONA WAMESEMA KUWA BADO WANAMTAKA ABAKIE BARCA NA KAMA IKIWEZEKANA A SING MKATABA WA MIAKA 4. GUARDIOLA KASHINDA MAKOMBE YA LIGI 3 NA KOMBE LA UEFA 2 GUARDIOLA AMESHINDA MAKOMBE 13 KATIKA MASHINDANO 16 BARCA ALIYOINGIA. CHELSEA WALIKUWA WANAMTAKA GUARDIOLA ILI KUZIBA PENGO LA ALIYEKUWA KOCHA WA CHELSEA CARLO ANCELOTI AMBAYE HIVI SASA YUPO PSG. NA MSIMU ULIOPITA MMILIKI WA CHELSEA ABRAMOVICH ALIKUWA ANATAKA KUMPA MKATABA WA MIAKA 4 NA ADA YA PAUN 40 MILIONI. GUARDIOLA AMBAYE ALIKUWA KOCHA BORA DUNIANI NA HIVYO KUWAFANYA WAMILIKI WA VILABU MBALIMBALI ENGLAND KUMPA MKATABA IKIWEMO ARSENAL MAN UNITED LIVERPOOL. INTER NA AC MILAN NAO PIA WALIKUWA KWENYE MBIO ZA KUMNYAKUWA KOCHA HUYO. LAKINI VYOMBO VYA HABARI VYA HISPANIA VINASEMA KUWA GUARDIOLA HATAJIUSISHA NA MPIRA NA KUPUMZIKA MWAKA .

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.