MARIO BALOTELLI AMUOMBA MSAMAHA MANCINE
8:37 AM |
MARIO BALOTELLI ALIPATA KADI NYEKUNDU KATIKA MUENDELEZO WA LIGI KUU YA ENGLAND DHIDI YA ARSENAL. MARIO ALIMUOMBA RADHI AU MSAMAHA KOCHA WAKE USIKU WA JANA.BALOTELLI ASEMA KUWA ANAOMBA MSAMAHA KWA KOCHA WAKE NA ASEAMA KUWA MANCINE NDIYE MTU AMBAYE ANAYE MUHESHIMU SANA NA NDIYE MTU AMBAYE ANAE MPENDA SANA.BALOTTELLI ASEMA KUWA ATAHAKIKISHA MAN CITY INATWAA KOMBE LA LIGI KUU YA ENGLAND MSIMU HUU. MANCINE ASEMA KUWA MARIO ATAWEZA KUKAA MAN CITY NA ATAUZWA KATIKA MAJIRA YA JOTO.BALOTELLI FA IMESEMA MARIO HATOCHEZA MECHI TATU BAADA YA KUMFANYIA MADHAMBI KIUNGO WA ARESENAL ALEX SONG NA KUMFANYA BALOTELLI KUCHEZA MECHI YA MWISHO YA LIGI KUU YA ENGLAND DHIDI YA MAN UNITED APRIL 30
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment