RONALDO NA MOURINHO WATIFUANA KISA MTOTO

KAMA INGEKUWA BUSARA NUSURA MTOTO WA RONALDO AMUINGIZE BABA YAKE MATATIZONI RONALDO NA MOURINHO NUSURA WATUPIANE MANENO KOCHA HUYO ALIMUELEZA MCHEZAJI HUYO KUWA ANATAKIWA KUWAHI MAZOEZINI NA KUACHANA NA TABIA YA KULEA WATOTO WAKATI SI KAZI YAKE KOCHA ALIMWAMBIA RONALDO MWISHO WA WIKI ILIYOPITA IKIWA NI SIKU MOJA KABLA YA REAL KUIIVA VILLAREAL KATIKA MECHI HIYO REAL ILILAZIMISHWA SALE KUWAFANYA BARCA KUPUNGUZA PENGO LA POINT SITA KOCHA ALIKERWA NA KITENDO HICHO NA KUMUITA MCHEZAJI HUYO NA KUMUULIZA NAE ALIMJIBU NA KUMWAMBIA ALITAKIWA KUMLEA MTOTO WAKE RONALDO ALIFANYA HIVYO NA KUMSUBILI MAMA YAKE AMBAYE ALIKUWA AKIMLEA KOCHA HUYO ALIMWAMBIA RONALDO KUWA ANATAKIWA KUANGALIA KAZI YAKE NA SIO KULEA MTOTO RONALDO ALIANZA KUSEMA KWA NGUVU NA KUMWAMBIA KOCHA HUYO MTOTO NI BOLA KULIKO SOKA..RONALDO ALIMWAMBIA MOURINHO KUWA KAMA AMEKOSEA AMSAMEHE NA KAMA ANATAKA KUMKATA FEDHA AMKATE RONALDO AMBAYE ANALIPWA BILIONI 1 KWA WIKI

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.