KIIZA AKACHA MAZOEZI YANGA

MSHAMBULIAJI WA YANGA HAMISI KIIZA JUZI ALISHINDWA KUFANYA MAZOEZI NA KIKOSI CHA TIMU HIYO HUKU KOCHA MKUU KOSTA PAPIC AKISHINDWA KUJUA ALPO NGANDA HUYO MAZOEZI YA TIMU HIYO YALIFANYIKA KWENYE UWANJA WA CHUO CHA USTAWI WA JAMII.KIJITONYAMA JIJINI DAR NA KUHUDHULIWA NA KALIBU NYOTA WOTE ISIPO KUWA HAMISI KIIZA.KUTOKANA NA HILO KOCHA WA YANGA ALIAMUA KUMUULIZA DAKTARI WA YANGA JUU YA MCHEZAJI HUYO NAYE DAKTARI HUYO ALIKUWA HAFAHAMU LOLTE KUHUSIANA NA MCHEZAJI HUYO KIIZA NI MCHEZAJI AMBAYE ALITOA MCHANGO MKUBWA KATIKA MECHI DHIDI YA ZAMALEK YA MISRI KATIKA KOMBE LA VILABU AFRICA

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.