KOCHA WA CHELSEA APEWA KAZI YA KUDUMU

HUENDA KOCHA WA MDA WA CHELSEA (A D M) ANDREA DI MATATEO KUPEWA MKATABA WA KUDUMU KATIKA KIKOSI CHA CHELSEA KOCHA HUYO RAIA WA ITALY AMEIONGOZA VYEMA CHELSEA KATIKA MSHINDANO MBALI MBALI. NA HUENDA KOCHA HUYO AKAPEWA MKATABA NA MILIKI WA CHELSEA ROMAN MOVIC.KOCHA HUYO AMBAYE ALICHUKUWA MIKOBA YA MRENO A V B ADREA VILLA BOAS KUTOKANA NA MRENO HUYO KUWA NA MATOKEO MABAYA KATIKA CLUB YA CHELSEA 

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.