PAPIC ACHANA NA MWAPE NA ASAMOAH

KOCHA MKUU WA YANGA AMESIKITISHWA NA UBUTU WA WASHAMBULIAJI WAKE.PAPIC AMBAYE HUWATUMIA SANA WACHEZAJI HAO KWA MECHI ZA LIGI KUU NA TA KIMATAIFA LAKINI PAPIC AMESHANGAZWA NA KIWANGO CHA WASHAMBULIAJI WAKE KWA KUKOSA MABAO YA WAZI KATIKA MECHI YA VILLA SQUAD MWAPE ALIKUSO MABAO MATATU YA WAZI KABISA NA KUMFANYA KOCHA AWE NA MASHAKA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI HAO

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.