HALI YA MUAMBA YAIMARIKA KIDOGO KIDOGO
10:41 AM |
HALI YA KIUNGO WA BOLTON YA ENGLAND FABRICE MUAMBA YAIMARIKA KIDOGO KIDOGO.HABARI KUTOKA BOLTON ZINASEMA KIUNGO HUYO MPAKA KUFIKIA SAA 8 MCHANA ALIKUWA ANAWEZA KUONGEA NA KUJIELEWA.KIUNGO HUYO ALIPATA MSHTUKO WA MOYO KWENYE MECHI DHIDI YA TOTTENHAM YA ENGLAND NA HAKUWEZA KUJITAMBUWA HARAKA BAADA YA KUANGUKA UWANJANI GAFLA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment