MWIZI MMOJA HUKO MOROGORO ATAKA KUMUIBIA MCHEZAJI WA SIMBA MWINYI KAZIMOTO MWIZI HUYO AMAYE JINA LAKE ALIKUWEZA KUFAHAMIKA HARAKA ALIKUWA NI MMOJA YA MASHABIKI UWANJANI NA BAADA YA KUMALIZA KUUANGALIA MPILA AKAENDA KUMVAMIA MSHAMBULIAJI WA SIMBA NA KUMPOLA SIMU YAKE NA ILIVYO FIKA JIONI MWIZI HUYO AKAENDA KUVAMIA DUKA LA MUHINDI NDIO AKAANZA KUPOKEA KIPIGO KWA WANANCHI WA MORO NDIPO WATU WENGINE AMBAO NI MASHABIKI WA SIMBA WAKAANZA KUMPIGA NA KUMUOJI MASWALI KUHUSU SIMU YA KAZIMOTO NA HAKUWEZA KUONGEA KITU CHOCHOTE KUHUSIANA NA SIMU
0 comments:
Post a Comment