MAMA MZAZI WA MARIO BALOTELLI AMEAMUA KUISHI KATIKA KITONGOJI CHENYE MAISHA YA HALI YA CHINI AKIWA NALENGO LA KUMSOGELEA KIJANA WAKE AMBAYE ALIMTOA KWA WATU WEUPE TANGU AKIWA MDOGO. WAKATI MCHEZAJI HUYO ANAYELIPWA PAUNI 120000KWA WIKI AKIISHI KATIKA JUMBA LA KIFAHARI MAMA YAKE AITWAYE ROSE AMEPANGA NYUMBA NDOGO AMBAYO ANALIPA PAUNI 550 KWA MWEZI NA LENGO LAKE NI KUKAA MJI MMOJA NA MWANAYE IMEDAIWA KUWA MCHEZAJI HUYO WA MANCHESTAR CITY MWENYE UMRI WA MIAKA 21 KUFIKA WYTHENSHAWE NA GARI LAKE AINA YA BENTRY GT KUMTEMBELEA MAMA HUYO JIRANI WA MAMA HUYO ALISEMA ROSE NI MCHAMUNGU KILA IFIKAPO JUMAPILI HUFIKA KANISANI ANATAKA KUTENGENEZA WAKE NA MTOTO WAKE NA HUENDA MAOMBI YAKE YAKAFANIKIWA ROSE MWENYE UMRI WA MIAKA 46 NA MUMEWE THOMAS WALISHAURIANA KUMTOA MARIO ILI ALELEWE NA WANANDOA WENGINE HUKO ITALIA WAKATI MCHEZAJI HUYO AKIWA NA MIAKA MIWILI ROSE ANAAMINI KWAMBA WALEZI WA BALOTELLI WALIMSHAURI MTOTO WAO AWACHUKIE NDIYO MAANA ALIPOMSAKA MTOTO WAO WAKE KWA MARA YA KWANZA BALOTELLI ALISEMA KUWA WAZAZI WAKE WA ASILI WALIKUWA WAKISAKA FEDHA ZAKE SI UPENDO
MAMA WA BALOTELLI AISHI KWA SHIDA
7:55 AM |

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment