KOMBE LA UEFA LA TUA TANZANIA
7:33 AM |
KOMBE LINALO GOMBANIWA NA TIMU TAKLIBAN 32 LATUA TANZANIA WAZAMINI WA KOMBE LA UEFA HEINKEN WAMELILETA KOMBE LA KLABU BIGWA ULAYA MAALUFU KAMA UEFA WAZAMINI HAO WAMELILETA KOMBE HILO KATIKA ARDI YA AFRICA KOMBE HILO LILITOKEA KENYA NA KUONGANISHA MPAKA TANZANIA NA KAMA KUNA MTU YOYOTE ANATAKA KUPIGA NALO PICHA ANAKALIBISHWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment