MCHEZAJI WA ZAMANI WA MANCHESTAR UNITED FEDERICO MACHEDA AMBAYE ANACHEZEA KWA MKOPO KATIKA CLUB YA Q P R AMEKUWA NI MTU WA KUCHEZEA BENCHI MWANZO MWISHO MCHEZAJI HUYO AMBAYE TANGIA KUTUA KATIKA CLUB YA QUEENS PARK RANGERS AMECHEZEA MICHEZO MITATU TU KATIKA CLUB HIYO TANGIA ALIPO SAJILIWA NA KOCHA AMBAYE HIVI SASA KOCHA HUYO AMETUPIWA VILAGO NA ALIPO INGIA KOCHA MPYA HUGES ALIMSAJILI CISSE NA BOBY ZAMORA NA KUMFANYA MSHAMBULIAJI HUYO KUKOSA NAFASI KATIKA KIKOSI HICHO CHA HUGRES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment