MACHEDA HALUDI MANCHESTAR UNITED
7:08 AM |
MSHAMBULIAJI WA MANCHESTAR UNITED FEDERICO MACHEDA AMETUA KATIKA CLUB YAKE YA ZAMANI YA MAN U BAADA YA KUTOLEWA KWA MKOPO KATIKA CLUB YA Q P R KATIKA MAJILA YA BARIDI MSHAMBULIAJI HUYO AMBAYE AKUWEZA KUCHAZA KATIKA CLUB YA Q P R KUTOKANA NA KUWA MAJERUHI SANA NA KUMFANYA KOCHA WA SASA WA Q P R KUMSAJILI DIBRIY CISEE NA BOBY ZAMORA WA FULHAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment