KIUNGO WA RUVU SHOOTING AZIMIKA UWANJANI ASHONWA NYUZI 5

KIUNGO WA RUVU SHOOTING JIMMY SHOJI JUZI JUMATANO ALIPOTEZA FAHAMU BAADA YA KUGONGANA KIWIKO NA BEKI WA VILLA SQUAD KWENYE MCHEZO WA LIGI KUU BARA ULIOFANYIKA UWANJA WA TAIFA.NA KUSABABISHA KUCHANIKA SEHEMU YA JUU YA JICHO NA KULAZIMIKA KUSHONWA NYUZI TANO JUU YA JICHO

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.