ENTENTE WALIA KUWEKEWA SUMU
6:52 AM |
KIKOSI CHA ENTENTE SETIF YA ALGERIA KILIINGIA NA HOFU YA KUWEKEWA SUMU KABLA YA MECHI YAO DHIDI YA SIMBA JUZI JUMAPILI VIONGOZI WA SIMBA WANADAIWA WALIPANGA NJAMA ZA KUWEKA SUMU HIYO ILI WACHEZAJI WA SETIF WAUMWE TUMBO NA WASHINDWE KUCHEZA MCHEZO HUO AMBAO SETIF WALIFUGWA 2-0 KWA MUJIBU WA TOVUTI YA KLABU HIYO INADAIWA KUWA RAIA MMOJA WA YEMEN NDIYE ALIKWENDA KWENYE KAMBI YAO ILIYO KUWA KATIKA HOTELI YA DURBAN NA KUDAI VIONGOZI WA SIMBA NDIO WALIKUWA NA MPANGO WA KUWAEKEA SUMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment