ES SETIF KUILIPIA SIMBA NAULI ALGERIA
10:08 AM |
KLABU YA ES SETIF IMESEMA ITAWALIPIA NAULI KLABU YA SIMBA KUTOKA ALGERIA MPAKA MJI WA SETIF AMBAKO MCHEZO WA PILI WA HATUA YA 16 UTAKAPO FANYIKA.TIMU IZO ZITAMENYANA KWENYE MCHEZO WAKE WA KWANZA UTAKAO FANYIKA KWENYE UWANJA WA TAIFA NA WAMALUDIANA UTAFANYIKA NCHINI ALGERIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment