BOLETTELLI ATAKA KUZICHAPA KATIKA MCHEZO WA LEO DHIDI YA SUNDERLAND


MCHEZAJI MTUKUTU WA MAN CITY MARIO BALOTTELLI ALITAKA KUPIGANA NA BEKI NGULI WA MAN CITY BAADA YA BALOTTELLI ALIPOTAKA KUPIGA FAUL HUKU KOLAROV NAE AKITAKA KUPIGA MPILA HUO PIA NA.BALOTTELLI ALIONEKANA KUKASILISHWA NA KITENDO CHA BEKI HUYO KUPIGA FAUL MARA MBILI NA KUZUWA UNGOMVI KATI YA WATU HAO WAWILI NA MPAKA CAPTAIN WA MAN CITY KUAMULIA UGOMVI HUO.LAKINI MAMBO YAKA MAZULI KWA WACHEZAJI HAO KUIFUNGIA TIMU YAO MABAO YA KUSAWAZISHA KATIKA MCHEZO KATI YA MAN CITY VS SUNDERLAND

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.