ARSENAL ASHIKWA SHATI

ULE USEMI WA MCHAKUWA JEMBE SI MKULIMA UMEMTOKEA LEO WATOTO WA WENGER BAADA YA KUKAZIWA MSULI NA CLUB TAJILI Q P R NA KUFANYA ARSENAL KUONGEZA KASI YA LIGI GOLI LA KWANZA LA KIUNGO WAZAMANI WA Q P R ADEL TAARABT KUFUNGA BAO LAKE LA KWANZA KATIKA LIGI YA ENGLAND KATIKA DAKIKA YA 22.ARSENAL NAO WALIBADILIKA NA KUSAWAZISHA BAO LAKE KUPITIA KWA WINGA MACHACHALI THEO WALCOT NA KUFANYA MCHEZO WA SOKA KUWA MTAMU.WAKATI TIMU ZOTE ZIKIWA TAYARLI KUANZA UNGWE YA PILI MCHEZAJI WA Q P R SAMBA DIAKITE KUIFUNGIA GOLI TIMU YAKE NA KUIFANYA ARSENAL KUWA NA KIBALUA KIGUMU CHA KUSAWAZI MPAKA MWISHO WA MCHEZO ARSENAL1-2 QPR

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.