ITAITAKUWA VIGUMU KUCHUKUWA LIGI KUU MANCINE

KOCHA MKUU WA MAN CITY ROBERT MANCINE AMESEMA KUWA MBIO ZA KUCHUKUWA UBIGWA ZINAWEZA ZIKAKATIKA KUTOKANA NA WACHEZAJI WAKE KUTOKUWA MAKINI UWANJANI.MANCINE AMSEMA HIVYO KUTOKANA NA MCHEZAJI WAKE MARIO BALOTTELLI KUTAKA KUFANYA FUJO UWANJANI NA MCHEZAJI MWENZAKE WA MANCITY KOLAROV.MANCINE AMESEMA KUWA KITENDO ALICHO KIFANYA BALOTTELLI NI KITENDO CHA KUWAKOSESHA UBIGWA NA KUWAFANYA WAPINZANI WAO MAN UNITED KUWA NA FAIDA YA KUCHUKUWA KUTOKANA NA WACHEZAJI WAKE KUWA NA USHILIKIANO UWANJANI.


    BALOTTELLI AKIWA NA CAPTAIN WAKE BAADA YA KUTAKA KUPIGANIA MPIRA WA ADHABU

    KOCHA WA MAN CITY AKISHIKA KICHWA BAADA YA KUONA TIMU INAZAMA


  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.