KOCHA WA REALMADRID JOSE MOURINHO AKATAA OFFA YA ROMAN ABRAMOVICH
12:45 AM |
KOCHA WA CLUB YA REALMADRID JOSE MOURINHO AMEKATAA OFFA YA MMILIKIWA CLUB YA CHELSEA ROMAN ABRAMOVICH NA KUSEMA KUWA ATAONGEZA MKATABA KWENYE CLUB HIYO RAISI WA CLUB YA REALMADRID FLORENTINO PEREZ AMEMPA OFFA KOCHA HUYO YA PAUN 190000 KWA WIKI NA KUMFANYA KOCHA HUYO WA ZAMANI WA CHELSEA KUBAKI KATIKA CLUB HIYO MPAKA 2015 MOURINHO ANAWEZA AKA SING MDA WOWOTE KUANZIA SASA RAISI HUYO ASEMA WAPO KATIKA MUELEKEO MZURI WA KOCHA HUYO KUONGEZA MKATABA MPAKA SASA KOCHA HUYO ANA MKATABA WA MIAKA 3 NA WANATUMAINI ATAONGEZA MKATABA HUO TANGIA MWAKA 2008 CLUB YA REALMADRID HAWAJAPATA KOMBE LA LIGI KUU NA KOCHA HUYO NDIYE ALICHUKUWA MAKOMBE HAYO WAKATI ALIPO KUWA PORTUGUES ITALY SPAIN ENGALND NDIYE KOCHA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment