MELI YA SPURS INAZIDI KUZAMA
10:51 PM |
KOCHA MKUU WA TOTTENHAM HARRY REDKNAP ASEMA KUWA HAFURAHISHWI NA KIWANGO CHA SASA CHA TIMU YAKE HARRY ASEMA KUWA WANAPATA MATOKEO MABAYA KATIKA MICHECHO YAKE. LAKINI KOCHA HUYO AMEKANUSHA MADAI KUWA ANAFANYA VIBAYA SPURS KUTOKANA NA KUITWA KWENYE TIMU YA TAIFA YA ENGLAND HARRY ASEMA KUWA ATA ARSEN WENGER ANAHUSISHWA NA KUITWA TIMU YA TAIFA LAKINI KAPIGWA NA WIGAN Q P R HIYO SIYO SABABU YA KUSEMA KUWA SPURS INFANYA VIBAYA KUTOKANA NA KOCHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment