Kocha wa yanga kosta papic ambaye leo jumamosi atacheza na villa jijini dar es salaam amepata nguvu mpya baada ya wachezaji wanne waliokuwa na adhabu au majeruhi kurejea uwanjani.Akizungumza papic aliwataja waliomaliza adhabu zao za kadi nyekundu na njano kuwa ni haruna nyiyonzima hamissi kiiza, na athuman chuji niyo alipata kadi nyekundu katika mechi dhidi ya azam huku hamisi kiiza na chuji nao wakipata kadimbili za njano katika mechi dhidi ya african lyon jumatano .juma seif kijiko aliyekuwa majeruhi sasa anaendelea vizuri .yanga inajaribu kuishusha simba itakayo cheza na mtibwa kesho jumapili mjini morogoro .kama itashinda bado itakuwa nyuma kwa point moja .simba ianazo 44 .fursa ya kocha wa simba milovan itakuwa ni kurejea kwa beki wake kelvin yondan aliyekosa mchezo dhidi ya polisi dodoma alipotumia kadi nyekundu .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment